Saturday, June 13, 2015

TUFANYE KAZI KWA BIDII

Habari za w/end, nawatakia mapumziko mazuri. Kule ukweni Dubai w/end mwisho ufukwe wa bahari Hindi,ukikanyaga nchi kavu kila mtu bize, But kwetu tunalala w/end eti mapumziko,zen tunasema maisha magumu. Halafu nyie wenye ndoa zenu ndo kabisaaaaa.....! Think twice, Angalia budget ya nchi ya 2015/2016 ni tegemezi, swali langu ni kwanini tuwategemee wenzetu kila mwaka sisi hatuwezi badilika? Tunajifanya mafundi wa kuimalisha ndoa,samahani kama utachukia BT huo ni ukweli bongo tumezidi uzembe,tumeona suluhu in kuongeza kodi kwenye petrol,diesel,kerosene,magari nk halafu tumeacha pombe na vileo vyote viwe na bei poa ili tuendekeze ulevi na uvivu wa kufikili??? Hadi mkulima kijijini ameambukizea ugonjwa wa w/end, nani kasema upumzike still unakalia kigoda, !!! TANZANIA NAKUPENDA ILA FIKIRA ZAKO ZINANICHOSHA. UNANIAHIDI NIISHI KWA MATUMAINI NISIYOYATARAJIA KUYAPATA LEO WALA KESHO. Bajeti iliyowasilishwa imenitafakarisha sana,I wish wanaojinadi urais mwaka huu wangeonesha kuipinga hiyo bajeti tuwaamini kuwa kweli wanatuingiza kwenye matumaini mazuri, bt nothing spoken from their mouths,!!!! Real wonders will never end..,..!!!!! Let us work men.