Monday, July 12, 2010

Karibuni ndugu!

Nawakaribisha kwenye kibaraza hiki, nikiwa mgeni kidogo, natambua umuhimu wa kubadilishana mawazo kuelimisha na kuburudisha kuwa ndio msingi mkubwa wa IT. Kwa kiasi nategemea uwepo wenu mtandaoni uwe na msaada kwa wanaoanza na sio kuwa na mtazamo wa kujuana. Karibuni sana

2 comments:

Amos Msengi said...

Tunashukuru sana,tupo pamoja,nitakuwa hewani hivi karibuni.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Karibu ulingoni....