Thursday, July 22, 2010

VUVUZELA IMEANZA ENZI ZIPI?



Historia inasemaje?


Kumekuwa na maswali mengi kuhusu asili au chanzo cha vuvuzela , chombo kilichotumika kama sehemu ya burudani hivi karibuni huko bondeni. Je! unajua chimbuko lake au hawa wanasingiziwa tu? kama itakuwa kweli unajifunza nini ?
Je! hii inakamilisha usemi usemao "USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA"

2 comments:

mdoti Com-kom said...

Kuna haja ya kuingalia upya historia hii isije ikawa na utata, Please Nijulishe kilichofunikwa hapo chini.

Amos Msengi said...

Historia ya wazulu waishio afrika kusini kwa miongo mingi wakati wa ukoloni walikuwa wakivaa kama inavyoonekana, chombo hicho kirefu kimekuwa na umaarufu,huo na kutokana na muundo wake kilikuwa na uwezo wa kutoa sauti mfano wa mbiu ya mgambo.Kwa maelezo zaidi fuatilia movie za shakazulu.